Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova ,
ametoa taarifa za awali kuwa jeshi la Polisi limefanikiwa kuzima jaribio
la mtandao wa majambazi waliokuwa katika hatua za mwisho za kuvamia
ofisi za Kampuni ya Ndege ya FastJet.
Kamanda Kova amesema,
“jana kundi la majambazi walikuwa wamejipanga kuvamia ofisi za Kamouni
ya ndege ya FastJet kwa nia ya kuiba lakini Jeshi la Polisi
liliwazingira na kuwakamata muda mfupi kabla hawajatelekeza uovu huo.”
Aidha, aliendelea kusema katika operesheni inayoendelea Dar es Salaam,
polisi pia wamewakamata majambazi wanane wanaodaiwa kupora katika Benki
ya Habibu mtaa wa Livingstone/Uhuru. Majambazi hao waliiingia katika
benki hiyo wakijifanya wateja.
Hata hivyo Kamanda Kova amesema leo atayazungumzia matukio yote kwa kirefu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova ,
ametoa taarifa za awali kuwa jeshi la Polisi limefanikiwa kuzima jaribio
la mtandao wa majambazi waliokuwa katika hatua za mwisho za kuvamia
ofisi za Kampuni ya Ndege ya FastJet.
Kamanda Kova amesema, “jana kundi la majambazi walikuwa wamejipanga kuvamia ofisi za Kamouni ya ndege ya FastJet kwa nia ya kuiba lakini Jeshi la Polisi liliwazingira na kuwakamata muda mfupi kabla hawajatelekeza uovu huo.”
Aidha, aliendelea kusema katika operesheni inayoendelea Dar es Salaam, polisi pia wamewakamata majambazi wanane wanaodaiwa kupora katika Benki ya Habibu mtaa wa Livingstone/Uhuru. Majambazi hao waliiingia katika benki hiyo wakijifanya wateja.
Hata hivyo Kamanda Kova amesema leo atayazungumzia matukio yote kwa kirefu.
Kamanda Kova amesema, “jana kundi la majambazi walikuwa wamejipanga kuvamia ofisi za Kamouni ya ndege ya FastJet kwa nia ya kuiba lakini Jeshi la Polisi liliwazingira na kuwakamata muda mfupi kabla hawajatelekeza uovu huo.”
Aidha, aliendelea kusema katika operesheni inayoendelea Dar es Salaam, polisi pia wamewakamata majambazi wanane wanaodaiwa kupora katika Benki ya Habibu mtaa wa Livingstone/Uhuru. Majambazi hao waliiingia katika benki hiyo wakijifanya wateja.
Hata hivyo Kamanda Kova amesema leo atayazungumzia matukio yote kwa kirefu.
No comments:
Post a Comment