Wednesday, 21 August 2013

Rwanda na Uganda...Huenda zikagaili.




Mlima kilima njaro

Bandali ya Dar


Rwanda na Uganda zitajitoa rasmi kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia 
Septemba Mosi, mwaka huu

- Yadaiwa Mizani ni mingi pia kuna usumbufu katika kupima mizigo yao na kwamba hali hiyo inawaletea usumbufu wafanyabiashara wengi barabarani


- Vitendo vya askari wa usalama barabarani kudai rushwa pia ni miongoni mwa vikwazo pamoja na urasimu mkubwa katika utoaji wa mizigo bandarini ikilinganishwa na bandari nyingine

Endelea kusoma zaidi ....... http://bit.ly/15bIw6





No comments:

Post a Comment