BREAKING NEWS :
SHAHIDI ASEMA KILICHOTOKEA KWA WALIO
MWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR
Shahidi alie shuhudia tukio hili asema bila yeye kumpeleka baharini na kumwagia maji ili kuonda tindikali hiyo basi hali yake ingekua mbaya zaidi
''Watoto
wawili wakiume wenye umri wa miaka 15 alimyanyua Kristy
Gee(aliyemwagiwa) na kumpeleka baharini kwasababu bahari ilikua karibu
na eneo la tukio ...walimfikisha baharini na kuanza kumuosha'' alisema
shahidi huyo ambaye ameomba jina lake kuhifadhiwa
No comments:
Post a Comment