Sunday, 11 August 2013

TAHADHARI:





 CHUNGA SANA MTEGO HUU



 


TAHADHARI:
Kumwekuwepo watu wanaopenda kuwadanganya wenzao kwa kuweka linki zinazodai kuwa ukibonyeza linki hizo utalipwa vizuri kila mwezi.
Tunapenda kuwafahamisha kuwa SI KWELI na ni UTAPELI kama utapeli mwingine, kuwa na shida na pesa kusitusababishe tukose ubinadamu na kuanza kuwadanganya wenzetu kwa namna zisizo za kiungwana (kamari za mtandaoni).

Ukisoma ujumbe, waarifu marafiki na wahadharishe wasidanganyike!

HAHAHAHAHAAHAHAAAHAHAAH!!!!!!  pesa bwana ni sabuni ya roho...hahahahahahaah

No comments:

Post a Comment