
Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata askari
bandia wa kikosi cha usalama wa barabarani (Pichani) akiwa amevalia sare
za trafiki akiendelea na kazi pasipo kugundulika kwa siku kadhaa.
Trafiki huyo bandia mwenye cheo cha Sajini alikamaywa na Polisi akiwa
"kazini" maeneo ya Tabata Kinyerezi akiwa amevaa sare mpya za Askari wa
Usalama barabarani, kikoti cha kuakisi mwanga, kofia nyeupe huku akiwa
ameshika kitabu cha kutoza faini (Notification) kwa madereva
wanaopatikana na makosa ya kukiuka sheria za usalama barabarani.


Trafiki huyo bandia mwenye cheo cha Sajini alikamaywa na Polisi akiwa "kazini" maeneo ya Tabata Kinyerezi akiwa amevaa sare mpya za Askari wa Usalama barabarani, kikoti cha kuakisi mwanga, kofia nyeupe huku akiwa ameshika kitabu cha kutoza faini (Notification) kwa madereva wanaopatikana na makosa ya kukiuka sheria za usalama barabarani.
No comments:
Post a Comment