MAONI YANGU KUHUSU FREEMASON IN
TANZANIA AS DIVA AKA MIMI
So guys nimeamua kutumia muda wangu wa
free katika website yangu hapa ndio home hapa ndio kila kitu kwangu sasa
hivi. watu wengi sana mnatembelea kwa siku sitaki kuwapoteza hata
nisipoandika kitu hamchoki kutembelea basi since its all about this blog
life basi sawa ntatumia muda kutoa maoni tofautitofauti.
Na Kuanza naanza na swala la........................
FREEMASON TANZANIA
Kwanza
nianze na hili la freemason Tanzania kwa mtazamo wangu hamna mambo ya
Freemason Tanzania kabisa kabisa Tunajazana tu ujinga wa akili thats my
personal opinion. Ni biashara tu watu wanataka kufanya na kupata
umaarufu kwa kuingiza hilo jambo maana kwangu mimi naona ni attention
seeking si zaidi.
Kwa magari watu
wanayoendesha na maisha wanayoishi kama wasanii freemason itoke wapi ???
freemason sio kuwa na puppies wala ku drive hayo magari yenu hayo mnayo
drive na kufanya kama vile mashindano kwenye frontpage , sijaona maisha
ya msanii wowote Tanzania ya Utajiri ya kufanya watu waseme ni
freemason , Hamna msanii Tajiri Tanzania kiasi hicho either awe wa
filamu au wa muziki wa Bongo fleva mwenye utajiri wa freemason , magari
ya kawaida sana na nyumba wanazoishi pia za kawaida ukiweka katika
list ya nyumba za watu wenye Pesa Tanzania hamna hata nyumba au magari
yao ya kushtua kabisa kawaida sana tu. kiukweli.
Unapozungumzia
Freemason unazungumzia alot of money my dear,bunch ..... angalieni
maisha ya wanamuziki na wacheza filamu ya marekani huwezi hata kwa
asilimia 1 ukafananisha na Tanzania na kuingiza freemason katika
sanaa...u guys are jokking me right??Tanzania Freemason katika sanaa??
really? funny asf.
Swala la
freemason ni Biashara tu ya kufanya watu wauze magazeti na kutaka
attention katika media kabisa ni mind games na kama mmesoma masomo ya
biashara kama mimi mtaelewa hapa ni biashara tu si zaidi.
to me freemason is a big no no no hasa hapa Tanzania fix tu.
MEDIA STUNTS TU.
tusidanganyane kabisa
be on twitter for a while ,u can follow for a chitchat
UTAJIRI |
No comments:
Post a Comment