Tobaaaaaa
"MAONGEZI
YA HAWARA NA BUZI LAKE YALIKUWA HIVI: BUZI: MPENZI WANGU TANGU
NIMEKUNUNULIA GARI NA NYUMBA NAONA MAPENZI YAMEPUNGUA! HAWARA: KWA NINI
MPENZI? BUZI: SIKU HIZI HUNIAMBII ASANTE KWA CHOCHOTE TOFAUTI NA ZAMANI.
HAWARA: ASANTE NISIMPE MGANGA NIKUPE WEWE NA UBAKHILI WAKO.
NISINGEKUROGA UNGENIPA LINI NYUMBA NA GARI? BUZI: NA MIMI NISINGEKUHONGA
HIVYO VITU NINGEKUAMBUKIZA UKIMWI SAA NGAPI? HAWARA HOI, WEWE UNADHANI
NANI MJANJA?"
No comments:
Post a Comment