| Maofisa uhamiaji, polisi, jeshi na mgambo wakikagua nyumba ya mhamiaji haramu kijijini Kagarama |
| Msako ukiendelea Bukoba Vijijini |
| Watuhumiwa wakisubiri kuhojiwa katika kambi ya Kagemu nje kidogo ya mji wa Bukoba |
| Wahamiaji haramu wakisubiri kupakiwa kwenye gari kurudishwa nchini Rwanda |
| Msako ukiendelea ambapo wahamiaji haramu waliokamatwa katika kijiji cha Kagarama wakipanda gari ili kupelekwa kambi ya Kagemu kuhojiwa zaidi |
| Wahamiaji wakiwa katika mpaka wa Rusumo wakisubiri kuvuka kwenda kwao Rwanda |
| Askari wanaondesha msako wa nyumba kwa nyumba wakisubiri kupewa maagizo ya utekelezaji wa Oparesheni Kimbunga |
| Mpakani Rusumo wahamiaji wakisubiri kurudi kwao Rwanda |
| Kikosi kazi cha Maofisa Uhamiaji wanaowahoji watuhumiwa na kuwaandikia PI Notice wakiwa katika pozi nje kidogo ya manispaa ya Bukoba katika kambi ya muda ya Kagemu |
| Wahamiaji raia wa Uganda wakisubiri kusafirishwa kwenda mpaka wa Mutukula kurudi makwao |
| Msako ukiendelea katika kijiji cha Masheshe wilaya ya Bukoba Vijijini |


No comments:
Post a Comment