Polisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesambazwa katika
maeneo ya Nyiragongo kaskazini mwa Goma, pamoja na viunga vyake maeneo
yaliokuwa yanashikiliwa na waasi wa M23 ili kuimarisha usalama zaidi.

Amina Abubakar amezungumza na Gavana wa Kivu Kaskazini Julien Paluku na kwanza alimuuliza juu ya hali ilivyo kwa wakati huu.Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
- Tarehe 04.09.2013
- Gawa Tuma Facebook Twitter google+ Zaidi
- Tutumie maoni yako
- Chapisha Chapisha ukurasa huu
No comments:
Post a Comment