IKIWA NI MWISHONI MWA MWAKA 2013 WANANCHI WA KAKUNYU WASHANGILIA KUKARABATIWA KWA BARABARA YA KUTOKA KAKUNYU JUU(NSHESHEMI) AMBAKO KIJIJI HICHO KINA PAKANA NA MPAKA WA TANZANIA NA UGANDA...UPANDE WA KASESE AMBAO KWA MUDA MREFU WALIKOSAHUDUMA YA BARABARA KWANI BARABARA HIYO ILIKUWA MBOVU SANA NA ILIKUWA NI VIGUMU KWA WASAFIRI KUTOKA NAENEO YA NKURUNGU NA KUELEKEA ENEO LA KAKUNYU JUU MAENEO YA KASESE UGANDA
WANANCHI WAPONGEZA |
UCHONGWAJI BARABARA |
MWANANCHI MMOJA AJULIKANAE KWA JINA LA KASSEIJA SEMMEDE KUTOKA UGANDA ALIDAI YAKUWA" @ watanzania wametukomboa sisi wananchi na sasa tutakuwa na uwezo wa kuwapeleka nduguzetu Hospitali ya kakanyu bila bughudha zozote" ALIMALIZIA KWA KAULI YAKE HIYO......
No comments:
Post a Comment