SAMACHAU
Baba bahili
Baba bahili kwa hela ni noma
Mtoto: Mama nimemuomba baba hela ya kusuka..kaninyoa kipara..
Mama: Una bahati mwanangu ungemuomba whitedent angekung'oa meno yote.
Mtoto: Duh! Je nikimuomba hela ya ALWAYS si atanipa mimba kabisa nisiingie blid!
**********
SAMAMDOE:-
Wewe cheka mimi nitabasamu.....nikichaka mimi itakuwa noma..
Bibi na bwana
Wapenzi wakiwa katika harakati ya kula chakula cha usiku,jamaa akapata swali hili;Bwana:honey hivi kabla yangu ulikuwa na wanaume wangapi?Demu kimya
jamaa akauliza mara ya pili,demu bado kakomaa vile vile,jamaa akauliza mara ya tatu,
demu bado akawa kimya.jamaa akawaka "Honey una nidharau kiasi hiki?nakuuliza hutaki
kunijibu siyo?Demu akajibu :Hee honey si ndio nawahesabu kimya kimya!!nilikuwa nishafika 89,
ngoja nianze upya sasa!!
Jamaa akazirai.
No comments:
Post a Comment