MBWA
KOKO WAWILI WALIKUWA WANASAKA CHAKULA KWENYE JALALA MARA IKAPITA
LANDROVER YA FFU NA NDANI YAKE KUNA MBWA WA POLISI; MBWA KOKO MMOJA
AKAANGALIA KWA UCHUNGU KISHA AKAMWAMBIA MWENZIE " UNAONA WENZETU
WALIOSOMA, WALEEE WANAENDA KAZINI.
![]() |
| Zigua simao na njero |



No comments:
Post a Comment