Sunday, 25 August 2013

Wengi wanataka kuingia katika ndoa, na wengine wanataka kutoka katika ndoa

 
 
 
 
chui..
 
 
 
 
Baadhi ya SABABU ambazo huwafanya Wanaume wengi 
waogope kuingia kwenye NDOA
 
 
 
 
Baadhi ya SABABU ambazo huwafanya Wanaume wengi waogope kuingia kwenye NDOA

- Kupanda kwa gharama za maisha (wa mijini)
- Utitiri wa wanawake wanaopatikana kirahisi bila hata kuoa
- Kutopata ampendaye kwa dhati
- Uhaba wa wanawake wanaofaa kuolewa

Soma zaidi hapa (na kwa ufafanuzi zaidi) => http://bit.ly/17c4MOT

- Kupanda kwa gharama za maisha (wa mijini)
- Utitiri wa wanawake wanaopatikana kirahisi bila hata kuoa
- Kutopata ampendaye kwa dhati
- Uhaba wa wanawake wanaofaa kuolewa

Soma zaidi hapa (na kwa ufafanuzi zaidi) ......... http://bit.ly/17c4MOT
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment