![]() |
Tanzania |
![]() |
HUU NDIO UKWELI |
Tuzungumze ukweli, vijana wengi kujiingiza kwenye biashara zisizo halali mfano

1. Kuharakia maisha
2. Uvivu wa kufanya kazi
3. Hawana uwezo wa kufanya kitu kingine
4. Ndio mfumo wa maisha
5. Kutaka kupata sifa
6. Sababu nyingine (Itaje)
...................................................................................................................Zitaje tusaidie jamii!!!
No comments:
Post a Comment