Wednesday, 11 September 2013

KWANINI WATU HUJIUA....????







KUJINYONGA
MAAMUZI POTOFU
Kwanini watu hujiua?

Makadirio ya shirika hilo la afya, yanaonyesha kuwa watu 1000,000 ulimwenguni hujiua kila mwaka, sawa na watu 3,000 wanaojiua kila siku, sawa pia na mtu mmoja anayejiua katika kila baada ya sekunde 40. Walio na umri kati ya miaka 15 na 25 ndio wanaoongoza kwa visa vya kujiua.

 
 
 Kwanini+watu+hujiua+/-/1724700/1988528/-/qmjkap/-/index.html




No comments:

Post a Comment