Wednesday, 11 September 2013

Unapo omba hata mungu anasikia,....

 
 
 
Tembo
 
 
 
 
mimi mwana maombi
>>>>Wakati watu walipomtazama Sarah kama ni mwanamke mgumba, Mungu alimtazama kama mama wa taifa kubwa. Wakati watu walipomtazama Yusufu kama maskini kwa kufungwa kwake, Mungu alimtazama kama waziri mkuu wa taifa la Misri. Wakati watu walipomtazama Daudi kama kijana mdogo na maskini mchungaji wa mifugo, Mungu alimtazama kama mfalme katika taifa la Israel. Usijali namna watu wanavyokutazama, Mungu anakutazama zaidi kwa thamani kubwa machoni pake na amekuandalia mafanikio makubwa.
 
 
 
Maombi
>>>> YER 32:27 INASEMA...

TAZAMA MIMI NI BWANA MUNGU WA WOOOTE WENYE MWILI JE!! KUNA NENO GANI GUMU NISILOLIWEZA??

TUOMBE!!!
MUNGU WANGU WAYAJUA MAHITAJI YA MOYO WANGU,NIAKUOMBA UNITENDEE MIUJIZA MIKUBWA ITAYOWASHANGAZA WASIOAMINI, UJIBU KILA HITAJI JEMA LA MOYO WANGU, PONYA NDUGU ZETU WENYE MAGONJWA MBALIMBALI,BARIKI WADOGO ZETU WANAINGIA KTK MTIHANI WA DARASA LA SABA .
KTK JINA LIPITALO MAJINA YOOOOTE.
 
 
 
 
Maombi
 
>>>RAFIKI SEMA NA MUNGU WAKO MANENO HAYA, NA MWISHO SEMA AMEEN MAANA UMEMAAMISHA...

MUNGU WANGU NA BABA YANGUU, ASANTE KWA UPENDO WAKO KWANGU, ASUBUHI HII WAPO WENZANGU WAMEPOTEZA NDUGU ZAO,WAZAZI WAO,WATOTO WAO,KAZI ZAO,BIASHARA ZAO,MALI ZAO NA HATA VIUNGO VYA MIILI YAO LAKINI BADO WANAKUSHUKURU WEWE KWA KILA JAMBO, LKN MIMI NI NANI HATA NISISHUKURU KUAMKA MZIMA WA AFYA? IBARIKI SIKU YA LEO NA KILA USAFIR NITAKAOTUMIA NA NITAKAPO KANYAGA UWE NAMI,
NINAJUA WAPO WANAONICHUKIA,WANIOMBEAO MABAYA,WASIOTAMANI MAFANIKIO YANGU YA BIASHARA,KAZI,MASOMO,KILIMO,UJENZI NK LAKINI KWAKUWA MUNGU UKO UPANDE WANGU.
WATASHINDANAAAA LAKINI..............

               KTK JINA LIPITALO MAJINA YOTE
 
Rafiki sema na mungu
 

No comments:

Post a Comment