Monday, 16 September 2013

Paration kimbunga chatikisa Tarafa ya Kakunyu...





leo milangoya saa kimi na mbili alfajili Bugango yakumbwa na Op kimbunga  wahamiaji haramu wa haha pandezote za viunga vya kakunyu na vijiji vyake vyote vya Bugango,  Bubale, Kakunyun magali ya kamati za ulinzi na usalama zaleta misukosuko pande zote za eneo hili la Kata...Kamanda shundi akijilidhisha katika kaya  moja ya mhamiaji ambae yupo nchini kihalali......
Maofisa wakiingia eneo la wahamiaji haramu kutekeleza oparesheni Kimbunga




Mahijiano yakiendelea
yakifanyika kisasa zaidi...>

Ukaguzi wa wageni

Maofisa wakiingia eneo la wahamiaji haramu kutekeleza oparesheni Kimbunga
<...........OP kimbunga yatinga maeneo
               yote ya mkoa wa Kagera
               "Lite kibali huna
                  unakwenda"



Oparation kimbunga sasa
chatinga... Bugango
 wahamiaji wahaha...................................................................>








Maofisa wakiingia eneo la wahamiaji haramu kutekeleza oparesheni Kimbunga


Ukaguzi wa nyumba hadi nyumba
watu wakimbia makazi yao
OP -Kimbunga yafanyika kisomi
yafanyika bila Bughudha Kagera......................................>

Oparesheni Kimbunga imeendelea kutimua vumbi katika mkoa wa Kagera ambapo wahamiaji mamia wameshakamatwa na kuanza kurudishwa makwao. Hadi sasa jumla ya wahamiaji 400 wamesharudishwa katika nchi za Rwanda, Burundi na Uganda.
Mmoja wa askari anayeshiriki katika oparesheni hiyo alimweleza bloga wetu kuwa idadi kubwa ya raia wa Rwanda wamekataa kurudi kwao na kudai kuwa wao ni raia wa Tanzania hali iliyowafanya maofisa wanaowapokea wahamiaji hao katika mpaka wa Rusumo upande wa Rwanda kukataa kuwapokea.
Wahamiaji wakinywa chai kusubiri kuondolewa nchini katika kambi ya kuwakusanyia iliyopo Kagemu nje kidogo ya mji wa Bukoba


Wahamiaji wakiwa katika kambi ya kuwakusanyia mjini Bukoba
’Kuna baadhi ya wahamiaji karibu 70 wamekana kwamba wao sio raia wa Rwanda nah ivy maofisa wa Rwanda walikataa kuwapoke.’’ Alisema mtonyaji wetu huyo.
Zoezi la kuwatimua wahamiaji haramu katika mikoa ya Geita, Kigoma na Kagera lilioanza siku 10 zilizopita ni utekelezaji wa agizo la raia kuwaondoa wale wote wanaoishi nchini kiunyume cha sheria za uhamiaji.
 
 
 

No comments:

Post a Comment