Paul Kagame:  Tanzania's own spy
 
|  | 
| Kilimanjaro | 
 
   
    

 

 Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning 
against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy 
take the first course??
     Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning 
against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy 
take the first course?? 
                                                                        
                                                                        
                                   
It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul 
Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a
 spy in different top secret missions. Why is this killing machine 
malfunctioning now!?
                                                                        
                                                                        
                                            Baada ya kumaliza mafunzo, 
hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter 
espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general 
staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, 
Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa 
Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret 
meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" 
kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza 
insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele. 
                                                                        
                                                                        
                                      
Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY
 CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made 
them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo 
ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa 
kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu 
na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi 
Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama
 security chief wa M7.
A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old 
memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we 
differ now..???
    
 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment