Naibu
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Tzeba, amethibitisha kuwa Serikali ya Rwanda
imeruhusu malori ya Tanzania yaendelee na safari kwa kulipa dola 152
badala ya 500 zilizoanza kutozwa jana. Kasema Waziri wa Fedha wa Rwanda,
aitwaye Gatete, na wa Uchukuzi, Rwakabamba, wameridhia tozo ya dola 152
iendelee.
No comments:
Post a Comment